About usGili ni shule ya wasichana ya bweni tu, imesajiliwa na wizara ya elimu kwa namba S.4375 na baraza la mitihani la taifa kwa namba S.4565. Shule ipo Kibaha maili moja B, kilometa mbili kutoka barabara ya morogoro. The 1st academic year always starts at January on Tanzanian Curriculum.The school is registering students for arts,Commerce and science subjects.Those who wish to join the school in other classes will be considered.
|
|